Rhino King kuzichapa na Harmonize

Rhino King kuzichapa na Harmonize

Ebwana siku za hivi karibuni msanii Harmonize alishea video akifundishwa mchezo wa ngumi huku akitaka mtu yeyote mwenye matatizo naye binafsi basi wakamalizane ulingoni.

Baada ya harmonize kuposti video hiyo  msanii Rhino King kupitia page yake ya Instagram amemjibu kuwa  yupo tayari kwa pambano hilo.

"Ulitangaza nakujigamba kwamba uko fiti na unataka pambano na yeyote kwenye game, niko hapa Tyson Faru, tayari kabisa kwa pambano na wewe kivyovyote. Tangaza tarehe uliemtaka umeshampata no excuses please nishakutamani" ameandika Rhino King.

Ebwana eeeeh!! Hii inaitwa usijaribu mambo watu wanafanya kweli, Je Harmonize alikua akimaanisha au aliposti utani? Tupia comment yako kupitia website yetu www.mwananchi scoop.co.tz.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags