Regina: Nitachagua kumtolea figo mume wangu na siyo baba yangu

Regina: Nitachagua kumtolea figo mume wangu na siyo baba yangu

Mwigizaji maarufu kutoka nchini #Nigeria, #ReginaDaniels amezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa yuko tayari kumtolea figo mumewe Mh.NedNwoko ili apone na aendelee kuishi kuliko kumtolea baba yake mzazi.

Kufuatia mahojiano yake ya hivi karibuni mrembo huyo aliulizwa swali kuwa mfano baba yake na mumewe wakiwa hospitali nani atakuwa chaguo lake la kwanza kumtolea figo na kueleza kuwa,

“Kama mama, nitatoa figo yangu kwa baba wa watoto wangu siyo kwa sababu ni mume wangu lakini kwa sababu sitaki watoto wangu wakue bila baba”. Mh. Ned Nwoko na Regina Daniels walifunga ndoa Aprili mwaka 2019 na wamebahatika kupata watoto wawili.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags