Rayvanny atimua vumbi Congo

Rayvanny atimua vumbi Congo

Mwanamuziki kutoka nchini Rayvanny bado ameendelea kuonesha kuwa yeye ndiye mwanamuziki anayependwa zaidi na mashabiki, kwa kuonyesha baadhi ya mapokezi yake sehemu mbalimbali.

Jambo hilo limejitokeza tena leo baada ya ku-post video yake akiwa juu ya gari katika mitaa nchini Congo huku umati wa mashabiki ukimkimbili.

Aidha Rayvanny anatarajia kufanya show katika nchi hiyo Agosti 20 mwaka huu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags