Rayvanny 2023, Siyo kinyonge

Rayvanny 2023, Siyo kinyonge

Msanii wa muziki nchini #Rayvanny ametangaza ujio wa Project yake mpya kabla ya mwaka kuisha, aliyoipa jina la ‘FIVE FOR YOU (5.4.U)’.

Project hiyo mpya Vanny Boy anatarajia kuiachia rasmi Novemba 24 mwaka huu 2023. baada ya ile ‘FlowersIII’ ambayo aliitoa march 2023 kuendelea kufanya vizuri kwenye mitandao ya kuuzia nyimbo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags