Ratcliffe kununua hisa Man United

Ratcliffe kununua hisa Man United

Mfanyabiashara kutokea Uingereza Sir Jim Ratcliffe anatarajia kununua asilimia 25 ya hisa katika ‘klabu’ ya Manchester United.

Endapo Ratcliffe ‘atasaini’ mkataba wa kununua hisa kampuni yake ya INEOS itaweza kudhibiti uendeshaji wa ‘soka’ wa ‘klabu’ hiyo.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vinaeleza kuwa ombi hilo lililopendekezwa na mfanyabiashara huyo la kununua hisa mpaka sasa bado hawajafikia makubaliano na viongozi wa‘klabu’ hiyo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags