Rais wa TFF akanusha kumuita samatta timu ya Taifa

Rais wa TFF akanusha kumuita samatta timu ya Taifa

Rais wa TFF, #WallaceKaria akanusha kumchagua #Samatta kuwa katika kikosi cha Taifa Stars, baada ya kuwepo kwa tetesi zinazodai Rais huyo kamchagua mchezaji huyo kuwepo katika kikosi hicho.

Karia  amekanusha akisema  majukumu ya kumchagua au kumuita mchezaji katika ‘timu’ ya Taifa ni ya mwalimu, huku akidai  kuna uvumi unaoendelea kuwa TFF ndiyo inapendekeza majina ya wachezaji kwenda kuchezea ‘timu’ ya Taifa.

 Hata hivyo ameeleza kuwa hakuna mwalimu ambaye atasimama na kusema TFF imuite mchezaji katika kikosi cha ‘timu’ ya taifa.
.
.
.
#MwananchiScoop.
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags