Rais wa FecaFoot atuhumiwa kupanga matokeo

Rais wa FecaFoot atuhumiwa kupanga matokeo

Rais wa Shirikisho la soka Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, aitwa na shirikisho la soka Afrika (CAF) April 17 kujieleza kuhusiana na tuhuma za upangaji wa matokeo na upendeleo kwa baadhi ya ‘timu’.

Aidha CAF imefanya uamuzi huo kufuatia madai ya upendeleo kwa baadhi ya ‘timu’ katika michuano ya Cameroon, tuhuma ambazo zimepelekea kuitwa kwa Rais huyo.

 Mchezaji huyo wa zamani wa ‘timu’ ya taifa ya Cameroon anatarajiwa kujieleeza pia kupanda kwa ‘timu’ ya Victoria United kutoka ‘ligi’ daraja la pili hadi daraja la kwanza.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags