Rais Samia: Wanawake jeshi kubwa

Rais Samia: Wanawake jeshi kubwa

Ooooh! Haya wale wa tunaweza wameupigwa mwingi sana katika matokeo ya sensa ya watu na makazi, wanawake ndio wengi Zaidi ambapo kauli hiyo imetolewa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Rais Samia Suluhu Hassan, leo ametangaza rasmi matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ambapo amesema Tanzania ina Watu 61,741,120 na kati ya hao Wanawake ni milioni 31,687,120 (51%) na Wanaume milioni 30,053,130 (49%).

Hii ikiwa na maana kuwa wanawake ndio wengi Zaidi kushinda wanaume, haya mtu wangu wa nguvu dondosha komenti yako hapo chini kuhusiana na idadi hii ya watu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags