Rais Samia kununua kila goli mechi ya simba dhidi ya al ahly

Rais Samia kununua kila goli mechi ya simba dhidi ya al ahly

Ikiwa imebaki siku moja kwa ‘klabu’ ya Simba kuingia dimbani kukipiga na Al Ahly katika michuano ya AFL, Rais Samia ameendeleza pale alipoishia ambapo ameweka wazi kuwa katika mchezo huo atanunua kila goli moja milioni kumi.

Kupitia ukurasa rasmi wa ‘klabu’ ya Simba wame-share ujumbe huo kwa kuandika

“Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Tsh. 10 milioni kwa kila goli ambalo tutafunga katika mchezo wa African Football League dhidi ya Al Ahly ambao utachezwa siku ya Ijumaa Oktoba 20, 2023 saa 12:00 jioni katika Uwanja wa Mkapa”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags