Rais samia akutana na Motsepe Chamwino

Rais samia akutana na Motsepe Chamwino

Rais Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya bendera ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dk Patrice Motsepe Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Oktoba 20, 2023.

Motsepe akizungumza na waandishi wa habari akiwa jijini Dar amesema wamezungumzia kuhusu maandilizi ya Afcon 2027 ambayo Tanzania, Kenya na Uganda wataandaa.
.
.
.
#Mwananchi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags