Raila Odinga kuwasilisha pingamizi matokeo ya urais leo

Raila Odinga kuwasilisha pingamizi matokeo ya urais leo

Kutokea huko nchini Kenya ambapo Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja One, Raila Odinga leo, Agosti 22, 2022 anatarajia kuwasilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) yaliyompa ushindi  Rais Mteule William Ruto

Aidha Odinga akiwa na Mgombea Mwenza, Martha Karua na Kiongozi wa Wiper Party Kalonzo Musyoka walisema hawawezi kuruhusu sauti za Wakenya zifutwe.

Sambamba na hayo amenukuliwa akisema “Hakuna shaka katika akili zetu kwamba watu wa Kenya walizungumza kwa sauti kubwa tarehe 9 Agosti. Sauti yao haitazimwa na ushindi wao hautapokonywa".

Mwananchi scoop tutakulitea update mbalimbali kuhusiana na suala hilo kadri taarifa zitakapi tufikia endelea kutufuatilia kwenye mitandao yetu ya kijamii.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags