Q Chief ashangaa Vanessa kufananishwa na Saraphina

Q Chief ashangaa Vanessa kufananishwa na Saraphina

Moja ya jambo ambalo msanii Q Chief halimuingi akilini kabisa ni hili la mwanamuziki Saraphina kufananishwa na mwanadada Vanessa Mdee kwenye muziki.

Q Chief anasema Saraphina anafanya vizuri lakini nafasi ya Vanessa ipewe heshima yake sio wakufananishwa naye.

"Viatu vya mtu visivaliwe na mtu mwingine, yaani mnataka kumfananisha Saraphina na Vanessa Mdee kweli? anafanya vizuri kwenye game lakini tuheshimu kile tunachokiona kila siku" - Q Chief

Saraphina Tz amewahi kuweka wazi kuvutiwa na Vanessa Mdee kupitia muziki wake.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags