Post Malone atarajia kupata mtoto wa kwanza

Post Malone atarajia kupata mtoto wa kwanza

Moja ya story huko mitandaoni ni hii ya Rapa kutokea pande za Marekani, Post Malone amefunguka kwamba anatarajia kupata mtoto wake wa kwanza.

Post Malone ameuambia mtandao wa Tmz kwamba anatarajia kupata mtoto wake huyo akiwa pamoja na mpenzi wake wa muda mrefu.

“Ninafuraha kuingia katika ukurasa mwingine wa maisha yangu, ninafuraha sana sikuwahi hivi kabla, sasa ni muda wa kuitunza, kuijali familia yangu, marafiki zangu na kusambaza upendo kadri tuwezavyo,” amesema Post






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags