Peter Banda apewa thank you

Peter Banda apewa thank you

‘Klabu’ ya #SimbaSC leo imethibitisha kuwa imemuacha mchezaji wao Peter Banda huku wakimtakia kila la kheri katika safari yake nyengine.

Aidha ‘timu’ hiyo haikusita kutoa shukurani kwa kipindi chote walichokuwa naye licha ya kuwa mchezaji huyo aliweza kuleta matokeo chanya katika ‘timu’ hiyo baada ya ‘kusaini’ mwaka 2021.

Huku baadhi ya mashabiki wa ‘klabu’ hiyo wameonesha kutokufurahishwa kwa kuondoka mchezaji huyo katika kikosi cha wekundu wa msimbazi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags