PC yenye kioo kinachoangaza nyuma

PC yenye kioo kinachoangaza nyuma

Kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya umeme kutoka nchini China 'Lenovo' kupitia kongamano lake la hivi karibuni imezindua kompyuta (PC) aina ya ‘Transparent screen’ ambayo ukiizima unaweza kuona mazingira ya nyuma ya PC yako.

#ThinkBook yenye inchi 17.3 inatumia teknolojia ya #MicroLED katika kuweka uwazi wa skrini ya kompyuta, huku bei yake bado haijawekwa wazi mpaka kufikia sasa.

Hata hivyo Lenovo si ya kwanza kutengeneza bidhaa ya aina hiyo, Januari Kampuni ya #LG ilizindua Tv inayoangaza nyuma iliyopewa jina la Signature OLED T.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags