Paula Kajala: Siwezi kupika ugali

Paula Kajala: Siwezi kupika ugali

mmmmmmmmmh! inabidi tufungue darasa la kufundisha watu kusonga ugali kwanini yani jaman hamjui kupika ugali eeeeeh hahahah! make hapa kwanza ncheke, basi bwana ukiachana na yule aliesema ugali unatiwa chumvi, huku kwengine bidada alietimiza miaka 20 hivi karibuni, yule binti wa Producer mkubwa nchini Majani, Paula Kajala amefunguka na kusema kuwa hawez kupiga ugali baada ya kuulizwa swali katika mahojiano hayo.

Paula ameyasema hayo kupitia mahojiano yake na kipindi pendwa nchini na kusema kuwa "no siwezi kupika ugali, labda pilau wali maharage vile vitu vyepesi vyepesi yaani vya kawaidia" amesema Paula Majani

jamani jamani haya sasa wadau wa mwananchi scoop embu tuambie wewe unaweza kupika chakula gani au nawewe huwezi kabisa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags