P Square wamaliza tofauti zao

P Square Wamaliza Tofauti Zao

Aiseee!! Waswahili wanasema ndugu wakigombnaaa shika jembe ukalime haya bwana yamedhihirika baada ya takribani miaka mitano ya kutokuwa sawa kwa kundi la P SQUARE.

Nikwambie tu inaripotiwa kuwa wawili hao wameamua kumaliza tofauti zilizokuwa kati yao kwa kipindi cha muda mrefu.

Hata hivyo bado haijawekwa wazi mipango ya wawili hao kama wataweza kurejea kwenye kundi lao la awali au kama kila mtu ataendelea na kazi zake.

Ebwana eeeh!! Niambie mdau kwa upande wako ni ngoma gania ambayo ilikuvutia sana kutoka kwa wawili hawa? Tupia comment yako hapo chini kupitia www.mwananchiscoop.co.tz.
Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.

Latest Post