Odemba avishwa pete ya uchumba

Odemba avishwa pete ya uchumba

Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa mwanamitindo maarufu nchini Miriam Odemba ameweka wazi kuwa amevishwa pete na mpenzi wake, na ni wakati wake sasa kuolewa.

Odemba ameyasema hayo kupitia #InstaStory yake baada ya ku-share clip akionesha pete yake kidoleni, iliyoambatana na ujumbe usemao,

“Asante my love mpenzi, mume wangu mtarajiwa kwa kunivisha pete hii ya uchumba harusi tunayo watanzania mko tayari? asante mungu wangu yametimia sasa furaha kwangu leo Miriam Madame Odemba Roy, muda wa kuolewa sasa”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags