Nissan yatengeneza kiti kinachosogea kwa kupigiwa makofi

Nissan yatengeneza kiti kinachosogea kwa kupigiwa makofi

Kampuni ya Nissan imetengeneza viti maalum vya kutumika kwenye ofisi zao, ambavyo vinafanya kazi kwa uwezo wa teknolojia.

Viti hivyo vinauwezo wa kijipanga na kujisogeza pembeni kwa ajili ya kumpisha mtumiaji akae. Anachotakiwa kufanya mtumiaji ni kupiga makofi pindi anapotaka kukaa na kisha viti hivyo hujisogeza, pia akinyanyuka anatakiwa kufanya hivyo na kisha kiti kinarudi sehemu yake.

Nissan ni kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa magari kutoka Japan. Kampuni hii inauza magari yake chapa za Nissan na Infiniti.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags