Nikkwapili: Tukubali maumivu

Nikkwapili: Tukubali maumivu

Ebwana eeh!! kutoka kwenye ukurasa wa Twitter wa Mkuu Wa Wilaya ya Kisarawe Nikkwapili ameandika ujumbe huu hapa.

''Ugumu wa kujikosoa nikwamba utapata majibu yale usiyopenda kuyafanyia kazi- ndio mana binadamu tunadumu na tabia zetu muda mrefu hatakama zina matokeo mabaya katika maisha yetu, hakukuna kukuwa bila maumivu tukubali maumivu ili tuwe watu bora kitabia, matendo na matokeo”

Niambie mdau kwa upande wako unakubaliana na maneno hayo kutoka kwa Dc Nikkwapili?.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags