Nicki Minaj kuachia documentary yake

Nicki Minaj Kuachia Documentary Yake

Ehh bwana, mambo yanazidi kuwa mazuri katika uwanja wa burudani.

Nyota wa muziki wa miundo ya Hip-Hop, Nicki Minaj ametangaza ujio wa documentary yake mpya iitwayo "NICKI."  Documentary Itakakuwa Inahusu Maisha Yake Tangu Aanze Ku-Rap Mpaka Kwenye Mafanikio Yake.

Kwa Mujibu Wa Trailer aliyoitoka kupitia mitandao ya kijamii, Hiyo Documentary Hii Itakuwa Na Jumla Ya Sehemu 6 (6 Parts), Na Kila Part Itakuwa Na Story Yake. Na Itaingia Sokoni Hivi Karibuni (Soon).

Tuka mkao wa kula! 


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post