Nicki Minaj alivyompandisha Drake jukwaani

Nicki Minaj alivyompandisha Drake jukwaani

Tazama mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Nicki Minaj alivyompandisha jukwaani msanii Drake katika show yake ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya ‘Pink Friday 2 Tour’ iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Toronto nchini Canada.

Wawili hao wanaonekana kuelewana sana kwani walishawahi kufanya ngoma za pamoja zikiwemo ‘Only’, ‘Needle’, ‘Best iEver Had’ na nyinginezo.

‘Pink Friday 2 World Tour’ ilianza rasmi Machi 2, 2024 Oakland nchini Marekani ambapo inatarajiwa kumalizika Julai 14, 2024, Liège, nchini Ubelgiji.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags