Ne-Yo akabidhiwa watoto na mahakama

Ne-Yo akabidhiwa watoto na mahakama

Baada ya msanii Ne-Yo kuomba haki ya kuishi na watoto wake na mahakama imtambue kuwa yeye ndiyo baba halali wa watoto hao hatimaye, mahakama imemkabidhi na kumtangaza kuwa baba halali wa watoto hao.

Hivyo basi Ne-Yo ametangazwa kuwa baba halali wa watoto Braiden, aliyezaliwa 2021, na Brixton, aliyezaliwa Februari mwaka huu, huku majina ya mwisho yatabadilishwa kutoka Bagnerise hadi Smith jina halali la mwisho la Ne-Yo.

Ne-Yo aliomba mahakama haki ya kuwalea watoto wake Braiden na Braxton Mei mwaka huu kwa sababu alikuwa akitaka waweze kurithi male zake licha ya kutozaliwa ndani ya ndoa.

Watoto hao aliwazaa na ex girlfriend wake anayeitwa Sadé Jenea






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags