Ndoa ya Sam na Britney yaingia doa

Ndoa ya Sam na Britney yaingia doa

Mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani, Sam Asghari amewasilisha karatasi za talaka mahakamani kwa madai ya kumuacha mke wake Britney Spears ambaye walifunga ndoa hivi karibuni.

Kwa mujibu wa TMZ Sam alieleza kuwa sababu ya kutaka kumuacha mpenzi wake ni kutokana na tofauti zisizoweza kusuluhishwa ndiyo maana ameamua kuvunja ndoa hiyo.

Licha ya hayo Sam bado hajafikia muafaka kuhusu mgao wa mali mpaka pale talaka itapo ‘sainiwa’.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags