Ndoa ya Gordon na Mia yapumulia mipira, Kisa kufilisika

Ndoa ya Gordon na Mia yapumulia mipira, Kisa kufilisika

Mume wa Mtangazaji wa Tv  kutoka nchini Marekani #MiaThornton , #GordonThornton Mwenye umri wa miaka 70 ameibuka na kumkashfu mke wake akidai kuwa alikubali kuolewa nae kwa sababu ya pesa.

 Kwa mijibu wa TMZ news, Gordon ameeleza  kuwa Mia alikubali kufunga nae ndo kwa sababu aliona kabisa atavuna mali siku za mbeleni lakini kwa kuwa mambo yake yameanza kwenda vibaya hali ambayo anaweza akafilisika muda wowote kuanzia sasa.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags