Ndoa ya Akothee yavunjika

Ndoa ya Akothee yavunjika

Ndoa ya mwanamuziki na mfanyabiashara kutoka nchini Kenya, Akothee inadaiwa kuvunjika kutokana na ‘staa’ huyo kubadirisha jina kupitia ukurasa wake wa Instagram kutoka Mrs Denis Schweizer 'Omosh' mpaka jina lake halisi.

Ndoa hiyo iliyofungwa Aprili mwaka huu inadaiwa kuvunjika japo wanandoa hao hawajazungumza chochote hadi sasa, huku ikidaiwa kuwa mumewe hayupo nchini humo kwa muda mrefu na hawana mawasiliano mazuri na ‘staa’ huyo.

                               

Ikumbukwe ndoa hiyo ni ya tatu kwa msanii huyo ambaye ni mama wa watoto.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags