Nana: Nimefanya dhambi nyingi sana

Nana: Nimefanya dhambi nyingi sana

Baada ya baadhi ya warembo maarufu nchini kufululiza kwenye mitandao ya kijamii wakidai kununuliwa zawadi ya magari na wapenzi wao, Mwigizaji @nana_dollz ametupa dongo kwenye upande huo.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Nana ameandika,
“Nimefanya dhambi nyingi sana lakini kujinunulia zawadi alafu niseme mwanaume kaninunulia hiyo siwezi.”

Unahisi Nana kamgusa nani kwenye hili?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags