Naira: Nilikutana na Mohbad mtandaoni, Kupoteza followers siyo kitu kwangu

Naira: Nilikutana na Mohbad mtandaoni, Kupoteza followers siyo kitu kwangu

Mwanamuziki Naira Marley ambaye amekuwa akizungumzwa kwa kuhusishwa na kifo cha aliyekuwa msanii nchini Nigeria MohBad, amefunguka na kudai kuwa alikutana na msanii huyo mtandaoni.

Hata hivyo inafahamika kuwa baada ya tukio hilo Naira alipoteza wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii, lakini kwa upande wake amedai kuwa jambo hilo la kuoteza followers siyo kitu kwake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags