Mwandishi wa habari ajutia kuoa wanawake wawili

Mwandishi wa habari ajutia kuoa wanawake wawili

Duuuuuuh! Wakati wengine wakifurahikia ndoa za mitala wenginge huku kwao ni changamoto basi bwana mwanahabari Maynard Manyowa kutoka nchini Kenya amefunguka na kueleza kuwa anajutia sana kuoa wake wawili.

Maynard alisema licha ya kumpenda mke wake wa kwanza na alimuoa mke wake wa pili ili kumwokoa kutoka kwa aibu ya kuwa single hata hivyo baada ya muda alikaribia kumpoteza mke wake wa kwanza ambaye alimpenda sana.

Mwandishi huyo alisema kupitia mtandao wa kijamii ameeleza kuwa kosa lake kubwa maishani na atakalo lijutia maisha yake yote ni kuoa wake wawili .

Aliendelea kukiri kwa kupinga ndoa ya wake wengi kwa sababu ya uzoefu wake binafsi na wake zake wawili na akawataka wanaume waache mitala la sivyo hawatakuwa na amani katika maisha yao.

“Kama mtu aliyekuwa katika ndoa ya mitala, nasema huu ni ushauri mbaya huwezi kuwa na amani kamwe mimi nilikuwa na mke zaidi ya mmoja kwa sababu niliwahi kumpenda mwanamke mmoja tu lakini tamaa tu zilinifanya nijutie” alisema Maynard

Aidha baada ya muda almanusura ampoteze mke wake wa kwanza ambaye alimpenda sana kwa sababu alitaka kubaki na mke wake wa pili kutokana nakumuonea huruma kisa hakubahatika kuolewa ndipo akamfanya mke wapili






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags