Mwanamuziki Zahara afariki dunia

Mwanamuziki Zahara afariki dunia

Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Afrika Kuzini Bulelwa Mkutukana anaye julikana kama Zahara (35) aliyetamba kupitia wimbo wake wa ‘Loliwe’ amefariki dunia,

Taarifa ya kifo chake imetolewa na Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Zizi Kodwa ambapo kufuatiwa na taarifa hiyo ilielezwa kuwa Zahara alifia hospitalini jijini Johannesburg alipokuwa akipatiwa matibabu ya ini yaliyoanza kumsumbua wiki mbili zilizopita.

Zahara alitamba kupitia nyimbo zake mbalimbali zikiwemo ‘Loliwe’, ‘Mgodi’, ‘Thembalam’, ‘Izolo’ na nyinginezo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags