Mwanamuziki Haitham afariki dunia

Mwanamuziki Haitham afariki dunia

 Mwanamuziki wa Bongo Fleva Haitham Kim, ambaye siku chache zilizopita mume wake alithibitisha kuwa mwanamuziki huyo yupo ICU akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu amefariki dunia leo katika hospital ya rufaa Temeke jijini Dar es Salaam

Hata hivyo kabla ya umauti kufika wasanii na wadau mbalimbali wa muziki walianzisha kampeni maalum ya kumchangia pesa kwa ajili ya kupata matibabu hospitalini hapo.

Haitham alitamba na vibao kama vile 'Hakutaki', 'Dubai', 'Wawa', Handsome na nyingine nyingi
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags