Mwanamke wa kwanza kuolewa na AI

Mwanamke wa kwanza kuolewa na AI

Mwanamke mmoja kutoka Uholanzi aitwaye Alicia Framis anampanga wa kufunga ndoa na roboti ‘Hologramu ya AI,’ aitwaye AILex ili kuona utofauti kati ya mahusiano ya AI na binadamu.

Imeelezwa kuwa utengenezwaji wa mwanaume huyo ulitokana na taarifa za mpenzi wa zamani wa Bi Alicia, lakini ndoa yao haitakuwa ndoa ya kimapenzi bali ni sehemu ya project yake mpya iitwayo 'Hybrid Couple', ambapo anataka kufanya majaribio ya kugundua upendo walionao AI.

Sherehe ya ndoa yao inatarajiwa kufanyika mwaka huu katika jumba la Makumbusho lililopo Rotterdam, Uholanzi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags