Mwalimu wa Chris ahukumiwa kwa kusafiri na bunduki

Mwalimu wa Chris ahukumiwa kwa kusafiri na bunduki

Mwalimu wa mcheza ‘boxer’ #ChrisEubank Jr, McIntyre ‘BoMac' ashitakiwa baada ya kukutwa na bunduki katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza.

Inadaiwa kuwa alikuwa akijaribu akisafirisha silaha hiyo nchini humo kinyume na sheria ndipo wakaguzi wa mizigo katika uwanja huo wakaifuma bunduki hiyo kwenye begi lake.

Inaelezwa kuwa Jaji Nicholas Dean ametoa hukumu kwa BoMac ya kifungo cha miezi 20 jela katika mahakama ya Manchester Crown.

Hukumu hiyo ni kutokana na ushahidi aliotolewa na baadha ya watu wake McIntyre  akiwemo bingwa wa ndondi za uzito wa Walter, Terence Crawford.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags