Mume wa Zari afungasha virago, arudi Uganda

Mume wa Zari afungasha virago, arudi Uganda

Aliyekuwa mume wa mfanyabiashara Zari Hassan, Shakibi Lutaaya anadaiwa kufungasha virago vyake na kurudi nchini Uganda.

Hii inakuja baada ya kusambaa kwa stori kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na wawili hao kuachana huku kila mmoja akumu-unfollw mwenzake kupitia kurasa zao za Instagram.

Licha ya kuzuka stori mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii lakini hakuna yoyote kati yao ambaye amethibitisha kuachana kwao. Wawili hao walifunga ndoa Oktoba 3, mwaka jana nchini South Africa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags