Muda wa T.I kuacha muziki umefika

Muda wa T.I kuacha muziki umefika

Mwanamziki na muigizaji kutoka nchini Marekani T.I ambaye amekuwa kwenye mziki wa hip-hop kwa zaidi ya miaka 25, amefunguka kustaafu kuimba na kuangalia miradi yake mingine.

Kwa mujibu wa All Rap news, inaeleza kuwa rapa T.I amethibishisha ujio wa albumu yake ya mwisho itoayokuwa ya kipekee ambayo ina pande mbili ambazo ni Kill the king na Kiss the king anayotarajia kuiachia hivi karibuni.

T.I. amekuwa akitambulika vyema kama rapper mwenye mafanikio makubwa pia ameonekana katika filamu zaidi ya 60 huku wimbo wake wa mwisho kuuachia ukiwa ni ‘Still Ain't Forgave Myself’ uliotoka miezi mitano iliyopita.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags