Mtoto wa miaka 2 awashangaza majaji shindano la AGT

Mtoto wa miaka 2 awashangaza majaji shindano la AGT

Tazama mtoto wa miaka 2 aitwaye #Devan akionesha ufundi wake kwenye somo la hisabati katika shindano ya kusaka vipaji la America's Got Talent linaloendelea nchini #Marekani.

Mtoto aliwashangaza wengi katika jukwaa hilo baada ya kufanikiwa kufanya hesabu zote

Kwa mujibu wa baba yake mzazi #Devan#DuaneDefreitas amesema kuwa mtoto wake alikuwa akipenda hesabu tangu akiwa na umri wa miezi 4 huku neno lake la kwanza kutamka lilikiwa namba saba.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags