Mtendaji mkuu Man United ajiuzulu

Mtendaji mkuu Man United ajiuzulu

Aliye kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #RichardArnold amejiuzulu baada ya miaka 16 ya utumishi wake ‘klabuni’ hapo.

Inadaiwa kuwa kuondoka kwa Arnold kunaashiria ujio wa mmiliki mpya wa ‘klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe ambaye anatarajiwa kufanya mapinduzi mapya ‘klabuni’ hapo ikiwa ni pamoja na kumleta mbadala wa Arnold.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags