Msichana anayechora kwa kutumia miguu na mikono

Msichana anayechora kwa kutumia miguu na mikono

Tumezoea kuona wachoraji wakitumia mkono wa kulia ama kushoto kuchora picha lakini kwa mrembo #Rajacenna van Dam, maarufu kama Rajacenna ameendelea kuwavutia wengi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kutumia mikono na miguu kuchora.

#Rajacenna ni mchoraji kutoka nchini #Uholanzi ambaye anatumia penseli wakati wa kuchora anaonesha umahiri wake katika Sanaa ya uchoraji kwa kutumia mikono yote miwili na miguu kuchora picha tofauti kwa wakati mmoja, huku ikidaiwa kuwa anatumia saa 40 hadi  20 tu katika kukamilisha michoro yake.

Kufuatiwa na maelezo yake ameeleza kuwa alianza kuchoka akiwa na miaka 16 kwa kutumia mkono wa kulia huku mkono wa kushoto ukichukua miezi sita kuchora picha iliyokamilika.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post