Mpishi kutoka nigeria aanza kupika kwa saa 200 kuvunja rekodi ya dunia

Mpishi kutoka nigeria aanza kupika kwa saa 200 kuvunja rekodi ya dunia

Ikiwa ni siku chache tuu tangu #AlanFisher kuvunja rekodi ya dunia ya #Guiness kwa kupika masaa 119 na dakika 57, mpishi mwingine kutoka nchini #Nigeria #TopeMaggie, amaanza harakati za kupika masaa 200 kwa ajili ya kuvunja rekodi ya Fisher.

Kupitia ukurasa wake wa #Instagram #ChiefTope alitangaza kuanza kupika kwa muda mrefu jana Alhamis, Novemba 9 saa 12 jioni ambapo aliwataka wakazi wa #Ogbomoso kumuunga mkono.

Huku mpaka kufikia sasa #Tope amepika kwa zaidi ya masaa 20 mfululizo.

Ikumbukwe kuwa Rekodi hiyo ya dunia ya #Guiness kwenye mashindano ya kupika kwa muda mrefu zaidi ilivyunjwa Novemba7, na #AlanFisher kutoka #Ireland kwa kupika saa 199 na dakika 57.

.

.

#mwananchiscoop

#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags