Muigizaji na #Producer maarufu kutoka nchini #Marekani, #MorganFreeman ameweka wazi sababu ya kila wakati kuonekana akiwa avaa hereni, saa na pete za dhahabu.
#Morgan amedai ana vaa pete na saa za #dhahabu kwa sababu zina thamani ya kutosha kwa mtu kumnunulia jeneza ikiwa atafariki ugenini ndiyo maana anavaa vito hivyo vya thamani.
#MorganFreeman ameonekana katika #filamu mbalimbali ikiwemo ‘London Has Fallen’, ‘A Good Person’, ‘57 Seconds’, ‘Now You See Me’ na nyinginezo.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply