Modeste kuikosa ‘mechi’ ya Simba,

Modeste kuikosa ‘mechi’ ya Simba,

Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al Ahly, Anthony Modeste hatokuwa sehemu ya kikosi cha Al Ahly kitakacho ikabili Simba SC katika mchezo wa ufunguzi wa ‘Ligi’ ya Soka Afrika, (AFL).

‘Mechi’ hiyo inayotarajiwa kuchezwa leo katika uwanja wa Benjamini Mkapa saa 12 Jioni ambapo wenyeji wa mchezo akiwa ni #SimbaSC.

Modeste mwenye umri wa 35 raia wa Ufaransa aliwahi kuchezea ‘klabu’ ya Dortmund hakuweza kusafiri na mabingwa hao mara 11 wa CAFCL kuja Tanzania.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags