Mo Salah kwa Afrika amefikisha mabao 150

Mo Salah kwa Afrika amefikisha mabao 150

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #LiverPool, #MoSalah amekuwa mchezaji wa kwanza wa Kiafrika kufikisha mabao 150 katika Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kufunga ‘goli’ la kusawazisha dakika ya 76 dhidi ya ‘klabu’ ya #CrystalPalace.

Palace walianza kujipatia bao dakika ya 57 kwa mkwaju wa ‘penati’ ambayo ilipigwa na Jean-Philippe Mateta kabla ya Mohamed Salah kufunga goli la 150 katika ‘mechi’ 200 akiwa katika ‘klabu’ hiyo

‘klabu’ ya Liverpool ilitoka na ushindi wa bao 1-2 huku ikiwa imesimama kileleni katika Ligi Kuu ya Uingereza ikiwa na alama 37.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags