Misso Misondo na wazee wa Makoti wamfikia Chris Brown

Misso Misondo na wazee wa Makoti wamfikia Chris Brown

Hatimaye Dj Misso Misondo na wazee wa makoti wamefika kwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown.

Hii ni baada ya nyota huyo wa muziki ku-share video ya wazee wa makoti kwenye Instastory yake akiisindikiza na ujumbe usomekao “Me dancing away from negative energy in 2024”.

Misso na wachezaji wake siyo mara ya kwanza ‘kupostiwa’ na watu maarufu duniani ikumbukwe kuwa muigizaji  Viola Davis aliwahi kuwa-post pia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags