Miquissone: Nina deni Simba

Miquissone: Nina deni Simba

Baada ya mapokezi mazito ya #Miquissone kutoka kwa mashabiki wa mnyama siku ya jana, akiwa amekamilisha usajili wake kwa mkataba wa miaka miwili. #Luismiquissone amekiri kuwa na deni zito kwa klabu hiyo.

ameandika, katika ukurasa wake wa #Instagram na kutoa shukurani kwa mashabiki wa klabu hiyo.

“Napenda kuwashukuru mashabiki wote wa #Simbasctanzania kwa mapokezi mazuri mliyonipa, mnanifanya nijisikie kuwa nina jukumu kubwa la kuipigania 'klabu' hii kwa kufanya kazi pamoja, naamini tutafikia malengo yetu”.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags