Mingo : Nimeanza kuwa maarufu kabla ya Zaylissa

Mingo : Nimeanza kuwa maarufu kabla ya Zaylissa

Akiwa katika mazungumzo na waandishi wa habari aliyekuwa mpiga picha wa #JumaJux na mpenzi wa muugizaji #Zaylissa, ambaye kwa sasa amekuwa mwanamuziki wa kizazi kipya, #Mingoclass ameeleza kuwa ameanza kuwa maarufu kabla ya kuwa kwenye mahusiano na Zaylissa.

Mingo alisema hayo baada ya kudaiwa kupotea kwenye trend tangu aachane na muigizaji huyo aliyekuwa mpenzi wake.

Hata hivyo baada ya kuongea hayo alitoaneno akidai kuwa usimuamini mwanamke katika kile anachokiongea kwa sababu anaweza kusema chochote ili apate anachokitaka.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags