Michael Jackson ndiye anayeingiza maokoto mengi

Michael Jackson ndiye anayeingiza maokoto mengi

Mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ameongoza orodha ya #Forbes ya watu mashuhuri 13 waliofariki wanaolipwa pesa nyingi zaidi, ambapo mapato yeke yanayokadiriwa kuwa dola 115 milioni sawa na tsh bilioni 288 bilioni kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi Septemba 2023.

Inaelezwa kuwa katika orodha mpya ya Forbes ya watu mashuhuri waliolipwa zaidi kwa mwaka wa 2023, ambayo iliwekwa wazi siku ya jana Jumanne, MJ ameshika nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza katika miaka minne, akifuatiwa na marehemu mkwe wake, #ElvisPresley, katika nafasi ya pili.

Mfalme huyo wa Pop alifariki dunia Juni 25 mwaka 2009.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags