Miaka 10 jela kwa kumuuzia madawa Michael Williams

Miaka 10 jela kwa kumuuzia madawa Michael Williams

Muuzaji wa madawa ya kulevya Irvina Cartagena aliyetuhumiwa kuhusika na kifo cha muigizaji mkonge nchini Marekani Michael Williams, ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela.

Kifungo amehukumiwa siku ya jana Ijumaa baada ya kukubali kosa katika mahakama ya Manhattan mwezi April mwaka huu kuwa ni kweli alihusika kumuuzia Michael dawa aina ya fentanyl-laced zilizosababisha umauti wake sept 6 mwaka 2021






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags