Mfadhili wa kundi la Islamic state auwawa

Mfadhili wa kundi la Islamic state auwawa

Taarifa rasmi kutoka katika Serikali ya Marekani  imesema kuwa  Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua Bilali Sudani  ambaye ni Kiongozi wa Kikanda wa ISIS pamoja na Viongozi wengine Waandamizi 10 katika Shambulio la kushtukiza.

Waziri wa Ulinzi, Lloyd Austin amesema Januari 25, 2023 Rais Joe Biden alitoa agizo kwa Jeshi baada ya kushauriana na Maafisa Wakuu wa Ulinzi, Ujasusi na Usalama ili kufanya Shambulio hilo ambalo limetekelezwa Januari 26, 2023

Sambamba na hayo Bilal Al Sudani anatajwa kuwa Mhusika Mkuu katika ufadhili na upanuzi wa kundi la Wanamgambo wa Kiislamu la  ISIS Barani Afrika na kwingineko.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags