Messi achukua kitambaa cha unahodha

Messi achukua kitambaa cha unahodha

Kocha Mkuu Tata Martino wakati akifanya mkutano na Waandishi wa Habari Miami amethibitisha kuwa nyota wa soka Lionel Messi ndiye nahodha mpya wa Inter Miami. Messi amechukua kitambaa cha unahodha baada ya kucheza mechi yake ya kwanza mapema msimu huu.

 Awali nahodha wa ‘klabu’ hiyo alikuwa kiungo wa kati kutokea nchini Brazil, Gregore ambaye kwa sasa yuko nje kutokana na jeraha la mguu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags