Mbosso awajia juu wanaoisema Cheni yake

Mbosso awajia juu wanaoisema Cheni yake

Mwanamuziki #MbossoKhan amewajibu wanaotoa maoni mabaya kuhusu ‘cheni’ yake mpya kuwa ni ‘feki’, huku mmoja wapo akiwa ni ‘staa’ wa muziki kutoka nchini Kenya Otile Brown ambaye aliibuka na kusema 'cheni' hiyo ni ‘feki’.

Masanii huyo akiwa katika mahojiano na moja ya chombo cha habari amesema kuwa wote wanaosema ‘cheni’ yake mbaya wana roho mbaya tu. Aidha msanii huyo ameeleza kuwa cheni yake hiyo mpya ataivaa muda wowote hata akitoka usingizi kwa sababu ni yake na ameweka pesa kwenye hiyo ‘cheni’.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post